.

.

.

.

Thursday, September 10, 2015

MABALOZI WA FINLAND NA SWEDEN WAWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAISI JAKAYA KIKWETE


Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akisanini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jana Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Jana Septemba 9, 2015
 Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka baada ya kuwasilisha hati za utambulisho akiongea na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Jana Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Sweden Bi. Katrina Rangnitt nchini akiweka saini kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Jana Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt  akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Jana Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt  akisalimiana na Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Jana Septemba 9, 2015
 Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt  akiwa katika mazungumzo na  Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam Jana Septemba 9, 2015
 Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt akisindikizwa na Mnyikulu wa Ikulu Bw. Jumaa Bwambo  baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakay Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 9, 2015.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment